NEWEST MISHONO YA MAGAUNI MAFUPI YA VITENGE

Karibuni leo tunawaletea mishono ya magauni ,inayo trend kwa sasa, mishono ambayo hutojutia ukishona, kwa kuwa utakua gumzo, kuna wengine hupendelea kushona kitambaa cha chiffon au glassy lakini wanachanganya kidogo na kitenge,styles zote zipo hapa jionee mwenyewe..