latest Mishono ya kisasa ya vitenge mixed na kitambaa

Idea ya kuchanganya kitenge fabric au kente fabric na kitambaa either cheupe, au kitambaa chenye rangi mojawapo ndani ya kitenge ni nzuri na unique especially katika kubadilisha types za nguo kwenye kabati lako.Angalia jinsi vitenge hivi vilivokuwa beautifully designed.

Continue reading “latest Mishono ya kisasa ya vitenge mixed na kitambaa”

MITINDO MIPYA YA VITENGE KATIKA MISHONO MBALIMBALI KWA WANAWAKE NA WASICHANA.TAZAMA PICHA HAPA

TUNADESIGN NA KUTENGENEZA NGUO KAMA VILE MAGAUNI ,SUTI,YA MITINDO MBALIMBALI,VIATU VYA KITENGE,MIKOBA NA VITU KIBAO…TUNABUNI NGUO MAALUM ZA SHEREHE NA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE HARUSI,SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY PARTY NA NYINGINEZO.

Continue reading “MITINDO MIPYA YA VITENGE KATIKA MISHONO MBALIMBALI KWA WANAWAKE NA WASICHANA.TAZAMA PICHA HAPA”