MSHONO WA KITENGE MAXI DRESS LENYE KOLA KAMA YA SHATI

Mshono wa leo uko simple na kila mtu ame come across nao na am sure wengi pia mna magauni ya kitenge marefu

Continue reading “MSHONO WA KITENGE MAXI DRESS LENYE KOLA KAMA YA SHATI”

TAZAMA MITINDO NA RANGI ZA WASIMAMIZI WA HARUSI

TUNASHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

Continue reading “TAZAMA MITINDO NA RANGI ZA WASIMAMIZI WA HARUSI”