MITINDO MIPYA YA VITENGE KATIKA MISHONO MBALIMBALI KWA WANAWAKE NA WASICHANA

TUNADESIGN NA KUTENGENEZA NGUO KAMA VILE MAGAUNI ,SUTI,YA MITINDO MBALIMBALI,VIATU VYA KITENGE,MIKOBA NA VITU KIBAO…TUNATENGENEZA NGUO MAALUM ZA SHEREHE NA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE HARUSI,SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY PARTY NA NYINGINEZO.TUNADARIZI NGUO MBALIMBALI KAMA MAGAUNI NA MASHATI YA KIUME

Continue reading “MITINDO MIPYA YA VITENGE KATIKA MISHONO MBALIMBALI KWA WANAWAKE NA WASICHANA”

TAZAMA MITINDO NA RANGI ZA WASIMAMIZI WA HARUSI

TUNASHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

Continue reading “TAZAMA MITINDO NA RANGI ZA WASIMAMIZI WA HARUSI”